Friday, April 04, 2014

Watangazaji Wawili wa Kike Wachojoa Nguo Zao Wakifanya Kipindi Live Kwenye Televisheni [PICHA]

Watangazaji wawili wa kike mnamo siku ya Jumatatu waliwashtua watazamaji wao mara baada ya kuchojoa nguo zao wakati wanafanya kipindi live kwenye televisheni.

Waendesha kipindi, Sherri Shepard na Jenny McCarthy wa talk show ya ”The View” waliwashangaza watazamaji wao pale walipobadili muelekeo wa upepo kwa kuamua kutoa nguo zao za juu, huku wakiwa wanaendele kutangaza habari.

Watazamaji, licha ya hivyi hawakuonekana kushangaa sana zaidi ya kupiga kelele za mayowe.

Cheki picha zaidi hapo chini....




No comments:

Post a Comment