Tuesday, May 21, 2013

Mourinho Kutangazwa Meneja Chelsea Ndani Ya Wiki Mbili

Jose Mourinho
Jose Mourinho anategemea kutangazwa kuwa Meneja wa klabu ya Chelsea ndani ya wiki mbili zijazo.

Real Madrid wameweka milango wazi kwa kocha huyo kuweza kurudi Stamford Bridge mara baada ya siku ya Jumatatu  usiku kutangaza kwamba kocha huyo toka Ureno anaondoka kwenye klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu baada ya pande zote mbili kuafikiana.

No comments:

Post a Comment