Sunday, April 28, 2013

Christiano Ronaldo Alifanya Ngono Kabla Ya Mechi Ya Madrid Na Dortmund

Ronaldo Na Irina Wakitoka Mgahawani
Si ajabu kuona ni kwa nini Cristiano Ronaldo hakuwa kwenye kiwango kizuri kwenye mechi kati ya timu yake ya Real Madrid vs Borussia Dortmund, mechi iliyochezwa siku ya Jumatano April 24 na kuisha kwa Real kufungwa 4-1 na Dortmund...... ukweli ni kwamba siku mbili kabla ya mechi hiyo Ronaldo alifanya mapenzi...

Andressa Urach (kwenye picha chini)  anasema kwamba mchezaji huyo ambaye yupo kwenye mapenzi mazito na modo waki-russia aitwae Irina Shayk  alilala naye na kumlipa kiasi cha paundi 12,500 kwenye hoteli ya Villa Magna siku ya Jumatatu April 22nd.

Andressa ndiye Malkia kwa mwaka 2013 wa shindano la Bum Bum la nchini Brazil, amelieleza gazeti la The Sun la nchini Uingereza kwamba aliwasiliana na Cristiano mara baada ya kuona picha zake kwenye mtandao, na kufanya mapenzi naye siku moja baada ya Ronaldo kupigwa picha akiondoka kwenye mgahawa huo na mpenzi wake Irina (picha ya juu).
Andressa amesema siku ya Jumatatu alichukua tax mpaka kwenye hoteli hiyo na kumsubiri Ronaldo kwenye sehemu ya kupumzikia. Hatimaye Ronaldo aliwasili akiwa na gari aina ya Audi R3 na kupaki kwenye parking za chini kabla ya kuchukua lifti binafsi mpaka chumbani kwake, na alipofika ndipo alipoamtumia ujumbe wa maandishi (sms) kumjulisha chumba alichofikia.

Mrembo huyo alisema mapenzi yalikuwa sio mchezo huku akiongeza "Ilikuwa ni hatari, mwili wake ni mzuri kama Mungu wa Kigiriki. Tulifanya mapenzi kwa masaa na hakusita kila mara kuyasifia makalio yangu.'

Demu wa Cristiano aitwae Irina, anajulikana kama ni mmoja kati ya waogeleaji wazuri duniani na ni mtu wa mitindo. Ikimaanisha kwamba mwili wake ni sio wenye nyama na ni mbaya kwa wastani, na kwa mantiki hiyo kuna uwezekano mkubwa kwamba Ronaldo anacheza sana kazi za nje.
Andressa
Je kwa kiasi gani binadamu afanyiwe ili aridhike! Duh…..!!

No comments:

Post a Comment