Tuesday, May 21, 2013

Baba Akamatwa Kwa Kumruhusu Mtoto Mwenye Miaka 9 Aendeshe Gari Na Kupata Ajali

Baba mmoja wa Ohio nchini Marekani, alimruhusu mwanae mwenye umri wa miaka 9 aendeshe gari ila mambo yakaenda kuwa ndivyo sivyo, mara baada ya gari hilo kupata ajali mbaya.

Inasemekana mzazi wa mtoto huyo mwenye umri wa miaka 23 aitwaye Jaron McGee alikuwa amekaa upande wa abiria huku mwanae akiwa anaendesha gari hilo aina ya Honda mnamo siku ya Jumapili.


Kwa kosa hilo McGee alikamatwa na anategemea kufikishwa mahakamani....

No comments:

Post a Comment