Monday, May 27, 2013

Mcheki Mama Mwenye Miaka 47 Na Watoto Watano Akiwa Na Bikini


Huyu sio mwengine ni aliyekuwa mke wa nyota wa filamu nchini Marekani Eddy Murphy aitwaye Nicole Murphy.
 
Picha hizi zilichukuliwa siku ya Ijumaa alipokuwa akila bata ndani ya Hawaii na mchumba wake wa sasa Michael Strahan, ambaye ni mchezaji wa zamani wa NFL ila kwa sasa ni mtangazaji wa TV.

 

1 comment: