“Huwa siingii kwenye Mtandao, na sijawahi kuingia Myspace.”-Jay-Z
Shawn Carter hana muda kwa vitu viwili: mambo ya kizushi na mahojiano. Kwenye kipindi cha The Realness kinachorushwa na kituo maarufu cha redio nchini Marekani kiitwacho Hot 97, mtangazaji wa kituo hicho Ebro Darden alieleza kwamba Jay-Z amekana kwamba Beyonce ni mjamzito wa mtoto wao wa pili.
Hii ilikuja mara baada ya Ebro alipojaribu kumpongeza mwanamuziki huyo.
No comments:
Post a Comment