Moja kati ya vitu vya kushangaza vilivyotokea hivi karibu ni juu ya tukio la jamaa mmoja nchini Brazil.
Jamaa ilimbidi kutoroka kupitia kwenye dirisha gorofani mara baada ya mume wa mwanamke kuibuka nyumbani gafla nyumbani.
Unaweza kudhani kwamba tukio hili ni kama mchezo wa kuigiza au ni filamu, hapana, ni tukio la kweli.
Kwenye picha ya kwanza ukiangalia kwa makini utaona bwana na bibi wakiwa wanazozana kwenye baraza.
Na hii ndio picha kamili......
No comments:
Post a Comment