Huyu ni modo mkubwa ambaye kwa sasa anendesha kampuni ya dizaini iitwayo IDDS (Isio De-laVega Design Studio)
Hivi karibuni ameachia picha zake mpya ambazo alizipiga akiwa Milan nchini Italia, picha alizopigwa na mpiga picha maarufu aitwaye Luca Patrone.
Hivi karibuni Isio alitangazwa kuwa Balozi wa Vijana kwa Ajili ya Amani na Global Foundation of Peace and Development.
Hizi hapa ni picha zake...
No comments:
Post a Comment