Wednesday, April 17, 2013

Serena Williams Akionyesha Umbo Lake na Bikini ya Monochrome (PICHA)

Serena Williams na Bikini ya Monochrome
Mara nyingi anapokuwa hayupo uwanjani Serena Williams huonekana huwa ni mtu ambae hupenda kwenda na mambo ya fasheni.
Hivi karibuni mchezaji huyo namba moja wa tenisi ulimwenguni kwa upande wa wanawake, akiwa kwenye ufukwe mmoja Miami, Florida nchini Marekani, alionekana akiwa na nguo fupi iliyobana umbile lake la mwili.
Akiwa Kwenye Pozi na Bikini ya Monochrome
Serene 31, ni kama alikuwa anajipa raha kwa kile ambacho huonekana ni kati ya moja ya vitu anavyovipenda, na hii ni pale alipokuwa kwenye ufukwe huo siku ya Jumatatu April 15.

No comments:

Post a Comment