Jamaa mmoja ambae ni mume wa mtu aitwae Gerard P. Streator 46, amekamatwa mara baada ya polisi mmoja
ambaye alikuwa nje ya kazi kumkuta jamaa akifanya ngono na na kochi
alilolitoboa tundu, polisi huyo alimkuta Streator akiwa kwenye pilika hizo
kwenye sofa lililolokuwa limetelekezwa.
Streator alifikishwa kwenye mahakama ya Waukesha County
Circuit kujibu shitaka linalomkabili, na kama akikutwa na hatia anaweza kupewa
kifungo cha miezi minane jela na faini ya dolla 10,000.
Imeelezwa kwamba
ofisa huyo wa polisi alikuwa yupo kwenye matembezi ya jioni, ghafla akaliona
sofi likiwa linatingishika.
Alipoamua kulisogelea ndipo alipomkuta Streator akiwa juu ya
hilo sofa, huku akiwa ameliparamia juu yake kana kwamba anafanya mapenzi na mtu.
Ofisa hiyo akaamua kusogea kwa karibu zaidi ili kufahamu nini
kinaendelea , ila ofisa huyo
hakufanikiwa kuona kitu chochote kwenye sofa, ndipo alipogundua kwamba
Streator alikuwa mwenyewe na sofa, huku
akiwa analishughulikia tundo alilolitoboa.
Ofisa huyo akamshitukiza mtuhumiwa na kumuuliza “unafanya
nini hapo?” kitendo kilichomfanya Streator kukimbia ila mwisho wa siku alikamatwa…
No comments:
Post a Comment