Manchester city wamekubali ada ya £21million kumuuza Carlos Tevez kwenda Paris Saint-German, jambo ambalo litazusha vita mpya na Tevez anayetaka kujiunga na AC Milan.
Mmiliki wa City Sheikh Mansour anaeleweka kuwa na uhusiano mzuri na karibu na Qatar owners of the French club.
And Roberto Mancini , kocha wa City hayupo katika mood nzuri ya kumridhisha Carlitos na matakwa yake ambaye currently yupo Argentina bila kuwa ruhusa ya klabu yake.
AC Milan wanataka kumchukua Carlitos kwa mkopo inJanuary, huku wakiwa wanataka kumnunua kwa £21million kipindi cha kiangazi kijacho, lakini City, ambao waliwalipa Manchester United £32million kwa ajili ya mshambuliaji huyo in July 2009, hawataki biashara hiyo, wakisisitiza timu inayomtaka Tevez ni lazima wamnunue moja kwa moja.
Juventus jana walionyesha nia ya kumtaka Tevez kitu kilichowafanya PSG kuweka ofa nzuri mezani.
Tevez sasa anategemewa ku-react kwa hasira juu ya suala la City kukubali kumuuza kwenda Ufaransa huku arugue kuwa hawezi kulazimishwa kujiunga klabu yoyote, hali ambayo itaendelea kuvumisha vita kati yake na klabu yake.

No comments:
Post a Comment