Mmoja wa actors wakali wa comedy toka NollyWood, Chinedu Ikedieze aka Aki aka andunje hatimae ameoa
Shemeji |
Aki alipata sana umaarufu akiwa na andunje mwenzake, Osita Iheme aka Ukwa kwenye movie za comedy ncihini Nigeria na amefunga ndoa na Sweetheart wake Nneoma Nwaijah, ambaye amehitimu Enugu State University of Technology.
Aki na Shemejiiii |
Mr. & Mrs |
No comments:
Post a Comment