Wednesday, April 17, 2013

Tell Me DC

Habari DC,
Mimi ni Doktari na hii ni picha ya mgonjwa mwenye AIDS.
Hana mtu awa kumuangalia sababu familia yake ilimtenga kutokana na hali yake.
Hana uwezo  kupata mlo kamili, na hali yake inazidi kudhohofika.
Japo kwa maombi yenu na mumuombee aweze kupata nafuu na msaada kwa uwezo wa Mungu, kwani sote tunaamini kwake hakuna linaloshindikana.
TUSIWATENGE NA KUWANYANYAPAA WAGONJWA NA WAATHIRIKA WA HIV.
Endelea ku-LIKE ukurasa wa Dan Chibo kwenye Facebook kwa habari zaidi.

No comments:

Post a Comment