Vidic alipotonesha Goti |
Meneja wa Timu ya Man United, Sir Alex Ferguson amethibitisha kwamba nahodha wa timu hiyo Nemanja Vidic, atakuwa nje ya dimba mpaka msimu huu wa 2011 -2012 utakapoisha.
Vidic aliumia goti kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya iliyocheza siku ya Jumatano dhidi ya Basel, mechi iliyoisha kwa Man U kufungwa bao 2-1 na timu hiyo toka Switzeland.
No comments:
Post a Comment