Friday, December 09, 2011

Mawazo ya Diamond katika Picha

Hizi ni picha za matukio machache kati ya mengi ya utengenezaji wa video mpya ya msanii wa bongo fleva Diamond Plantinum uitwao Mawazo.
Location hizi unazoziona kwenye picha ni maeneo ya Mbezi Beach huku akiwa anauza sura na gari aina ya Mercedes Benz SL500.
Video imefanywa na Visual Lab chini ya Dir Adam Juma.







No comments:

Post a Comment