Saturday, December 10, 2011

Tushukuru kwa Yote katika Picha

Hizi ni baadhi ya picha za utengenezwaji wa Video mpya ya wimbo wa Ditto uitwao Tushukuru kwa yote, na Video hii inatengenezwa na kampuni ya Blueboy Film toka nchini Afrika Kusini.
Kaa mkao wa kula soon itakuwa kwenye luninga yako.




No comments:

Post a Comment