Tuesday, January 03, 2012

Tetemesha Records Yaanza Mwaka

Kava ya Single ya Nishike Mkono

C Sir Madini
Tetemesha Recordz inayo furaha kuuanza mwaka 2012 kwa kutambulisha wimbo mpya wa C-SIR MADINI  unaitwa NISHIKE MKONO. 
Wimbo huu ni mwendelezo wa love story ya wimbo uliopita wa C-SIR unaoitwa KIFUNGO HURU.
Video ya NISHIKE MKONO  itafuata baadae.
Thanx for ur support na tunaamini utaendelea na moyo huo na sisi tunaahidi kuendelea kufanya kazi bora.

Sandu G. (Kid bwoy)
 CEO/Executive Producer
Tetemesha Entertainment 

No comments:

Post a Comment