Tuesday, April 16, 2013

MAGRETH THATCHER “IRON LADY” AFARIKI DUNIA

Waziri mkuu wa kwanza mwanamke Uingereza maarufu kama Iron Lady Magreth Thatcher amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 Jumatatu asubuhi baada ya kupata ugonjwa wa kiharusi. Alikuwa waziri mkuu kati ya mwaka 1979 -1990 msemaji wake alithibitishia vyombo vya habari juu ya kifo hicho Jumatatu asubuhi pia kwa elimu alikuwa ni mtaalam wa Chemistry. R.I.P MAGRETH THATCHER “IRON LADY”

No comments:

Post a Comment