Ndani ya GALAPO Club MASAI (Ilala) Kila siku za Ijumaa kunakuwa na USIKU wa DADA'z.
Na usiku wa IJUMAA hii kutakuwa na (RE-DO) ya mdada atakayependeza na wake UNYWELE.
Mrembo PAGAWISHA kiubunifu na zako NYWELE, huku ukitoka SEXY ujiongezee nafasi ya ushindi.
Kiingilio kwa Wadada ni FREE na Wakaka ni 3,000/- tu.
No comments:
Post a Comment