Jarida la In Touch limeandika, muigizaji nyota ambaye kwa sasa ni mjamzito Kim Kardashian, anahofia boyfriend wake Kanye West huenda akawa ni shoga na ana boyfriend jijini Paris.
Kwa mujibu wa jarida hilo, Kardashian anapata wasi huo sababu watangazaji wengi wa kwenye mitandao wanamuhisi kwamba boyfriend wake huenda akawa yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanaume ambaye aliwahi kumtengenezea nguo aitwaye Riccardo Tisci.”
Japo yeye anamuita "rafiki" alilieleza kwenye jarida hilo, “Kim alifunguka zaidi na kusema. Kama kweli ikitokea kwamba Kanye yupo na Riccardo kimapenzi, itamumiza sana - zaidi ya nilivyowahi kuumizwa kwenye maisha yake yote.”
Jarida la In Touch limeandika, “Kuna vielelezo ambavyo Kim hawezi kuvipinga,” huku vikiorodheshwa, “Katika kipindi chote ambacho Kim ni mjamzito Kanye amekuwa akitumia muda wake mwingi akiwa karibu na Riccardo kwenye jiji hilo lililopo nchini Ufaransa… Na hivi karibuni Riccardo amenunua nyumba New York umbali wa nusu ya maili toka sehemu ambayo Kanye anaishi.”
wenzetu their very open in their relation.. na ndo mana wanadum sana. wangekuwa wabongo hapo unamfichia siri eti mpenzi wako tena ukiulizwa unakua mkali balaaa.
ReplyDeleteHuyo Kim anajua siku nying sana asizuge eti anahis
ReplyDeleteKwan siku zote hizo wanapokua faragha alikua haoni kama sehemu ya haja kubwa ya mpnz wake ni tofauti na kawaida???