Friday, December 02, 2011

Usiku wa Swagga za KIMINI


Ndani ya GALAPO Club MASAI (Ilala) Kila siku za Ijumaa kunakuwa na USIKU wa DADA'z.
Ijumaa hii mrembo unatakiwa u-PAGAWISHE kiubunifu na chako KIMINI, huku ukitoka SEXY na hapo unakuwa umejiongezee nafasi ya ushindi.
 
Kiingilio kwa Wadada ni FREE na Wakaka ni 3,000/- tu.


No comments:

Post a Comment