Thursday, November 17, 2011

Sasa nawaletea Usiku Wa Dada'z

Kama ilivyo kawaida ya Galapo Club Masai ( Ilala)
 
Na sasa nawaletea Usiku wa Warembo watamu wa town, ndani ya kiwanja cha ukweli kilichopo pande za Ilala Sharif Shamba.
Kila Siku ya Ijumaa kunakuwa na Usiku wa warembo, Unaweza uita usiku wa DADA'z.
 
Ambapo wanawake wanajishindia zawadi mbalimbali,  zikiwemo pesa taslim na vinywaji vya aina mbalimbali kama Wisky, Wine, Bia nk.
Na wiki hii shindano linamtafuta mdada atakayependeza na wake UNYWELE
Pendeza kwa zako NYWELE huku ukitoka bomba ukiwa SEXY ujiongezee nafasi ya ushindi.
 
Kwa Wanawake hakuna kiingilio ni FREE, huku akina kaka wakilipa sh. 3,000 tu.

Kwenye Moja na Mbili ni Dj Dan Chibo & Dj Mickie Love.

No comments:

Post a Comment