Kuwa Mwanaume wa ndoto za Mwanamke kwa njia 10 nyepesi;
1. Mpigie simu pasipo kutegemea, labda kwa kumwambie tu ulikuwa unamfikiria yeye.
2. Mkumbatie.
3. Imba wimbo anaoupenda au mnaoupenda ninyi wote.
4. Mbusu kwenye paji lake la uso.
5. Andika ujumbe kwenye karatasi kisha uweke kwenye mfuko wa nguo yake, labda ukisema 'Nakupenda' au 'Wewe ni kila kitu kwangu.' Kitu flani cha upendo.
6. Muangalie machoni mwake unapokuwa unamkumbatia, na mbusu taratibu.
7. Mfanye acheke mpaka alie.
8. Mwambie anaonekana yupo poa sana, hasa kwenye siku zake mbaya.
9. Kuwa bega lake la kulilia.
10. Jitahidi kuwepo muda anaohitaji msaada.
ahsante kwa maelezo...mimi binafsi sijawahi fanya hivyo.
ReplyDeleteThanks brouh....big up!
ReplyDeletehapa sasa.............
ReplyDeleteU do that as a men..?
ReplyDelete