Friday, September 26, 2014

Apple Yakiri KUPINDA kwa Simu Mpya ya iPhone 6 Ila Wamesema 'Ni kwa Nadra Sana' [PICHA]

  • Msemaji wa Apple ameeleza kwamba ni wateja wanane tu ndio ambao waliopeleka malalamiko ya kupinda kwa simu zao aina ya iPhone 6 Plus.
  • Kiwanda hicho kikubwa kimesema vitu vipya vilivyoingizwa kwenye simu hiyo mpya ni chuma kisichoshika kutu, sehemu ya kuingizia ya  titanium inserts na kioo kigumu kuwahi kutokea kwenye dunia ya utengenezwaji wa simu. 
Kampuni ya Apple Inc ilijikuta ikiingia kwenye hasara ya kujimudu mnamo siku ya Alhamisi, ikizungumzia kile kilichokuja kujulikana kama 'BendGate' kwa kusema kuwa malalamiko ya wateja juu ya tatizo hilo la iPhones ni machache sana tofauti na ukaribu wa ukweli wenyewe.

Taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo imekuja saa chache mara baada ya Apple kuitoa software ambayo ilionekana kupelekea kuwa ni chanzo cha tatizo hilo la simu kupinda.

'Katika utumiaji wa kawaida, kupinda kwa iPhone ni kitu ambacho ni nadra sana na katika kipindi cha siku sita cha mauzo, jumla ya wateja nane waliwasiliana na Apple wakiwa na na tatizo la kupinda kwa iPhone 6 Plus,' Msemaji wa Apple Trudy Muller alisema kupitia email.

Cheki picha zaidi hapo chini...




No comments:

Post a Comment