Kwenye mahojiano ya hivi karibuni na NETng, makali huyo wa ngoma ya Kuchi Kuchi, Jodie Odiete amesema hajawahi kupitia masuala ya ngono. Jodie aliulizwa ni upi mazamo wake juu ya maswala ya mapenzi kwa kujamiiana na alijibu;
“Binafsi sio kitu sahihi sababu sijaolewa. Siwalaumu hao wanapjihusisha, ni mtazamo wangu binafsi. Sikutakiwa kuwa na mtazamo wowote juu ya ngono kwa sababu sijawahi kufanya hivyo. Ngono haimaanishi lolote kwangu hivyo siwezi kujiingiza kwenye mahusiano kwa sababu hiyo”
No comments:
Post a Comment