Wednesday, May 22, 2013

Ujumbe Toka Kwa Bob Junior a.k.a Sharobaro President

Bob Jr
Hey Guyz Kama Kawaida Naendelea Kuwaomba Muendelee Kunipigia Kura Katika Tuzo Hizo Mbili Ninazo gombania Katika Tz Kili Awards 2012-2013…

Mwisho Wa Kupiga Kura Ni Tar 31 May Na Tuzo Zitafanyika Tar 8 mwezi June 2013…

So Kura Zenu Ni Muhimu Sana Kwangu Niweze Nyakua Tuzo
So Plz Fanya Hivi Kupitia
Video Bora Andika Namba AP4 Katika Sehemu Ya Sms Kisha Tuma Kwenda Namba 15345...

Pia Nashindanishwa Kupitia Mtayarishaji Bora (Producer Bora) Hivyo Andika Namba BC1 Katika Sehemu Ya Sms Then Tuma Kwenda 15345....

Waweza Kupiga Kura kwa internet ingia ktk web hiyo (www.kilitime.co.tz)
Natanguliza Shukrani Zangu… 1 Love....

No comments:

Post a Comment