Tuesday, December 10, 2013

Picha Nzuri za Wanawake wa Peter na Paul Okoye [PICHA]

Anita & Lola
Msanifu wa mapambo toka nchini Nigeria Banke Meshida, hivi karibuni ameshea picha za mchumba wa Paul Okoye aitwaye Anita Isama, na ya mke wa Peter Okoye, Lola Omotayo Okoye, kwenye ukurasa wake wa Instagram.



Anita



Lola
Ni wanawake wazuri.... Unakubali..?

No comments:

Post a Comment