Tuesday, December 17, 2013

Ndio Kusema Huyu ni Nyoka wa Kike [UBUNIFU]


Kwa jicho la kwanza la mtu yeyote anaweza kustaajabu kwa hiki anachokiona. Kama ukipata bahati ya kukutana naye naamini unaweza kujikuta unapita kama si kukimbia kwa kutokujua kwamba huyu ni mwanamke ambaye amejivalisha kitu ambacho kimekufanya ushangae kama huyu ni binadamu.

Naamini majibu tofauti yatapatikana kwa kila mmoja wetu kama akibahatika kuja kumuona mtu huyu kwa mara ya kwanza, ila pongezi zangu za dhati nataka ziwaendee wale wote ambao ni wabunifu wa hili na mengineyo yanayotokea Duniani.

Cheki pica za ubunifu huu hapo chini....






No comments:

Post a Comment