Tuesday, December 17, 2013

Muimbaji wa Nyimbo za Dini Erica Campbell wa Kundi la Mary Mary Ashutumiwa kwa Kuvaa Nguo za Kumbana [PICHA]


Sio habari tena kwamba mmoja kati ya wanaounda kundi Mary-Mary, Erica Campbell, kwa sasa ameamua kufanya mziki kama msanii solo. Ila habari kwa sasa ni juu ya kava la album yake mpya ambayo imezinduliwa, kava la album hiyo imezua mjadala mkubwa kwenye jamii mbalimbali.

Muimbaji huyo wa kundi la Mary Mary hivi karibuni kupitia ukurasa wake wa Instagram aliposti picha iliyomuonyesha amevaa nguo iliyoshika mwili wake vilivyo.

Picha hiyo ilizua mijadala kwa watu huku wengi huku wakihoji kama nguo hiyo ni sahihi kwa muimbaji wa nyimbo za Dini kama yeye kuvaa au laah....?

Wewe unaonaje...?

No comments:

Post a Comment