Sunday, December 22, 2013

Kelly Rowland Kwenye Nguo Ndefu ya Mpasuo [PICHA]


Mwanamuziki aliyechumbiwa hivi karibuni Kelly Rowland mnamo siku ya Alhamisi alihudhuria pati ya X Factor Season 3 iliyoofanyika ndani ya Los Angeles huku akiwa amevaa nguo ndefu yenye mpasuo isiyokuwa na mikanda.


Mcheki hapa kisha nambie unamuonaje...?


No comments:

Post a Comment