Tuesday, October 22, 2013

Mwanamichezo Mzito Kuliko Wote Duniani Kupunguza Uzito

Manny Yarbrough a.k.a Tiny
Akiwa anaelekea kustaafu kucheza mchezo wa mieleka aina ya Sumo, Manny Yarbrough antaka kufanya maamuzi sahihi ya maisha yake.

Akiwa na umri wa miaka 49 jamaa huyu ambaye pia hujulikana kama "Tiny" anataka kupunguza uzito kutoka ule aliona sasa wa paundi-719, huku muda wake wa kustaafu ukikaribia kufika hapo mwakani.

Ameieleza ABC News kwamba lengo lake ni kurudi kwenye hali aliyokuwa nayo katikati ya miaka ya 1980 kipindi ambacho alikuwa yupo chuo kwenye jimbo la Morgan, Fox Sports imetaarifu.

No comments:

Post a Comment