Friday, July 19, 2013

Nando: Nilitaka Kutumia Condom Ila Selly Alitaka Twende Kavu Kavu

Nando na Selly
Mmoja kati ya wawakilishi wa Ghana kwenye shindano la Brother Africa Season 8, Selly, alitolewa kwenye jumba hilo baada ya muwakilishi toka Tanzania, Nando alipomtuhumu kuwa alimuambukiza gongwa la zinaa wakati wawili hao walipofanya mapenzi bila kutumia kinga.

Nando amekasirishwa na hali hiyo na amekuwa wazi kuzungumzia suala hilo kwa washiriki wenzake waliopo ndani ya jumba hilo:

“Unajua simpendi yule ma**ya! Nimekwazwa na na kuchanganyikiwa sababu yule ma**ya (Selly) ameniambukiza gonjwa la zinaa.

Ndiyo sababu jana msukumo wa damu yangu ulikuwa juu,” alimwambia Bimp, muwakilishi toka Ethiopia.

Kwa mujibu wa Nando, yeye alikuwa anahitaji kutumia condom kabla ya kufanya mapenzi na Selly, ila muwakilishi huyo toka Ghana aliseama anataka kufanya bila kinga, bila kujua athari za maambukizi ambayo yalijitokeza.

Taarifa zinasema wanaomtibu Nando kuweza kupona ugonjwa huo wanaitwa Chlamydiae.

Licha ya hivyo hakuna ushahidi wa kitiba unaoonyesha moja kwa moja kwamba Nando aliambukizwa ugonjwa huo wa zinaa na Selly.

1 comment:

  1. Vijana inabidi tubadilike.. Ukimwi na magonjwa ya zinaa yapo sana.. Tusiwe wepesi kuwaamini wapenzi kwa macho mara tu tunapokutana nao na kujikuta tunafanya mapenzi pasipo kupima.. Ukimwi upo na unaua...

    ReplyDelete