Friday, May 24, 2013

Foxy Brown Akanusha Habari Juu Ya Uchafu Wa Jay-Z Alizohusishwa Kuzisema

Foxy Brown
Foxy Brown amekasirishwa na habari zilizoeleza kwamba yeye alimsema vibaya Jay-Z …

Akiieleza TMZ, Foxy alisema, hakuwahi kumzungumzia Hova kama ni mtu aliyeathiriwa na maradhi ya Gono, na kwa sasa yupo kwenye mkakati wa kufungua mashtaka kwa waliohusiika kuitangaza habari hiyo.

Brown anajaribu kuzungumzia habari ambazo ziliandikwa kwenye MediaTakeOut —  zilizosema, Foxy amezungumzia maisha ya kimahusiano ya Jay-Z kwa mmoja wa wageni wake —  akisema, hivi karibuni kwa siri, Jay-Z amekuwa akijihusisha kwenye mahusiano na mashoga… na kwamba yeye Foxy alipoteza bikira yake kwa jamaa huyu kipindi ambacho alikuwa na miaka 15 na Jay-Z akiwa na miaka 27.


Ndani tarifa hiyo pia kulikuwa na tuhuma za ukabaji, mikanda ya ngono na mengineyo ambazo MediaTakeOut iliziandika na kumtaja Foxy kuhusika nazo.

IAkiieleza TMZ Foxy alisema, habari hizo zote ni za kipumbavu … “Uwepo wa habari hii unanifanya niumwe tumbo. Na kila mtu aliyehusika atawasiliana na Wakili wangu.”

No comments:

Post a Comment