Friday, May 24, 2013

Nyota 10 Waliojitokeza Kwenye Jamii Wakiwa Watupu Kwa Kudhamiria

Nyota wa filamu toka nchini Ufaransa Frederique Bel, aliziachia wazi sehemu zake za mwili kwenye Tamasha la Filamu la Cannes lililofanyika mwishoni mwa wiki - huku akiziacha chuchu zake wazi kwenye vazi linalomuonyesha sehemu za mwili wake.

Kitendo hicho cha ajabu kilifanikiwa kwa kile kikubwa alichokuwa anakitaka la kuuza jina, onyesho hilo lililokuwa na dhumuni ya kuitangaza filamu mpya ya waigizaji Carey Mulligan na Isla Fisher iitwayo The Great Gatsby.


Frederique Bel

Angalia picha za nyota wengine waliowahi kufanya kitendo kama hicho.....

Rihanna
Nick Minaj
JOodie Marsh

Lady Gaga
Lil Kim

Micaela Shaefer

Rose McGowan

Helen Flanagan

Coco

Katie Price

No comments:

Post a Comment