Tuesday, April 16, 2013

NI AINA GANI YA MTOTO..?

Mama: Mwanangu, hebu njoo nikufundishe hesabu." Dogo: "Haya mama." Mama: "Kwa mfano shangazi yako akikupa maandazi mawili, halafu akakupa tena maandazi mawili jibu litakuwa nini?" Dogo: "Asante shangazi....!" Nawatakieni wote Wikendi njema...!

No comments:

Post a Comment