Monday, April 15, 2013

Mkandarasi Ni Yule Yule

Inasemekana Mkandarasi wa jengo lililoanguka jijini Dar ndie mjenzi wa gorofa hili, ambalo nalo lina nyufa kuanzia floor ya sita. Wapi tunakwenda na nini hatma ya mambo haya? Hebu hesabu ziko floor ngapi hapo..!

No comments:

Post a Comment