Monday, December 12, 2011

CMB Prezzo amsanua Demu wake


Jackson Makini - CMB Prezzo
The King of Bling toka Kenya,Jackson Makini aka Rapper CMB Prezzo amemsanua rasmi girlfriend wake anayekwenda kwa jina la Joy Wanjohi ambaye alikua anafanya kazi Phat Magazine.
Prezzo na Joy Wanjohi
Prezzo kwa sasa ana-bang na track mpya ya Fo Sure Fo Shizzle, amefunguka zaidi kuwa uhusiano wake na Joy ni kama wa Wiz Khalifa na Amber Rose na wamekua wakitoka na Joy Wanjohi kwa muda wa mwaka mmoja na nusu sasa baada ya kutemana na ex-wife wake Daisy

No comments:

Post a Comment