Kwa ufupi hiki unachokiona hapa ni baadhi tu ya picha zilizopigwa kwenye scene mbalimbali za video yake mpya inaapitwa ‘Anaconda,’ niamini nnapokwambia kwamba video hii itakuja kuweka historia kuwa moja kati ya video bora za hip hop zilizowahi kutoka.
Cheki picha zaidi hapo chini...!
No comments:
Post a Comment