Ghali: Kiasi cha £60m za Angel Di Maria kuja Manchester United toka Real Madrid imefanya jumla ya pesa za kusajili kikosi cha United kuwa zaidi ya £400m |
Thamani ya kikosi cha United sasa imepiku ile ya majerani zao na mabingwa watetezi Manchester City, ambao kikosi chake thamani yake ni£344.15m kwa ujumla.
Hizi ni timu tano na thamani ya vikosi vyao...
1. Manchester United £401.2m
2. Manchester City £344.15m
3. Chelsea £341.8m
4. Liverpool £245.8m
5. Arsenal £209.5m
No comments:
Post a Comment