(CNN) -- Pope Francis amekubali kujiuzuru kwa Bishop wa Kijerumani ambaye alikuwa chini ya uchunguzi wa matumizi ya $42 million kwa ajili ya ukarabati wa nyumba anayoishi.
Bishop Franz-Peter Tebartz-van Elst anajulikana kama "Bling Bishop" kwa sababu ya maisha yake ya kifahari.
Kwa mujibu wa taarifa ya Vatican, Tebartz-van Elst anategemea kupewa majukumu mengine katika kipindi hiki.
No comments:
Post a Comment