Picha hizo zinawaonyesha wawili hao wakiwa kitandani kwenye mahaba mazito, hata hivyo picha hizo zinaonekana kutia shaka kuwa sio halisi ni za kutengenezwa ingawa hatuna uhakika kwa asilimia zote kwasababu msichana anayedaiwa kuwa Shamsa Ford ana umbo tofauti na la star huyo.
Shamsa ana umbo la kawaida ki-shape lakini msichana huyo anaonekana kuwa na umbo namba nane.
Jana baada ya kuona picha hizo ambazo zimeenezwa hasa kwenye pages za kisiasa kwenye mitandao ya kijamii zikimuandama mbunge huyo wa Chadema Swahiliworldplanet ilimtafuta Shamsa na kumueleza kila kitu.
Akionekana kujiamini Shamsa alisema kuwa picha si za kwake na kwamba zimetengenezwa, aliendelea kwa kusema, pia msichana anayeonekana kiumbo wako tofauti na hata sura.
Shamsa aliendele akisema, yeye ni mtu anayejiheshimu sana na ana familia yake hivyo asingeweza kufanya jambo kama hilo.
Alipoulizwa je anafahamiana na Mh. Salvatory Machemli pia alikana kujuana nae achilia mbali kuwahi kukutana nae "zimedaiwa kuwa ni mimi but sio mimi, naomba uangalie hizo picha vizuri au kama upo WhatsApp nikutumie halafu uone je ni mimi? kabla sijakujibu" Shamsa alifunguka
Moja ya picha hizo tukiwa tumeikata kwasabau za kimaadili |
Kwa upande mwingine baadhi ya wachangiaji mitandaoni wamedai kuwa picture hizo ni za kutengenezwa kwasababu Mh.Machemli ana kitambi lakini katika picha hizo hazimuonyeshi akiwa na kitambi, wengine wamesema kuwa picha hizo zimechukuliwa katika mtandao mmoja wa ngono na kufanyiwa photoshop lengo lake likiwa ni la kumchafua kisiasa mbunge huyo ambaye anadaiwa kukumba na misukosuko ya mara kwa mara. Hata hivyo ukweli wanaujua wenyewe.
NB. Tumeshindwa kuziweka picha hizo zikiwaonyesha mwili mzima kutokana na sababu za kimaadili.
Mh. Machemli |
No comments:
Post a Comment