Ndani ya ngoma hiyo iitwayo "We Made It" Jay Z anasikika akirap kwa kutoa sharauti kwa mshindi huyo wa tuzo za Oscar Lupita Nyong'o.
Huu hapa ndio mstari wenyewe...
I'm on my Lupita Nyong'o,
Stuntin' on stage after 12 Years A Slave,
This Ace of Spades look like an Oscar,
Black tux, look like a mobster.
Inafurahisha kiaina, na hii ni kutokana na ukweli kwamba ni mara chache sana kwa Jay Z kutokea kumtaja mwanamke mwengine kwenye tungo zake zaidi ya mke wake na mwanae wa kike.
Kipande hiki cha Lupita ni kitu cha kushangaza kwa mashabiki wa nyota wote wawili.
Je ulihisi kitu kama hiki kutokea...?
No comments:
Post a Comment