Friday, March 21, 2014

Beyonce Ashambuliwa na Mashabiki kwa Kuiga Mtindo wa Rihanna wa Kushika Nyeti [PICHA]

Baadhi ya watu wanaonekana kutopendezwa na tabia ya Beyonce kuiga vitu na mambo anayofanya Rihanna. Kuna kipindi fulani alibadili nywele zake na kuzifanya fupi, wakasema alikuwa anajaribu kuwa kama Rihanna kwa mtindo wake wa nywele,  juzi kati kwenye onyesho lake alilotumbuiza kwa mara ya mwisho akiwa jukwaani alishika sehemu zake nyeti, pia wakasema anamuiga Rihanna.

Mtindo wa kushika nyeti haukuvumbuliwa na Rihanna, Madonna na Micheal Jackson walianza kuutumia, ila Rihanna ameufanya kuwa ni mtindo wake..

Nilishangazwa kumuona Beyonce naye akifanya hivyo...

Soma baadhi ya comments za mashabiki hapo chini:

”"I’m sorry, I just don’t think her legs open and the mouth action are attractive-looks like she’s trying too hard. In another picture she looks like she’s tap dancing. She just doesn’t look like Sasha Fierce to me with this new hair.”

“She doesn’t need to stoop to all this se'xualisation. She’s had a great talent and can be successful without it. She’s beginning to look a bit desperate.”

“The cro'tch grab is getting a bit old isn’t it?”

“Too bad that these performers have to point out their private parts to us as if we did’t know they have them. It cheapens the performance . I would have thought Beyonce was beyond the need for this redundant act performed by Michael Jackson,Madonna, Rianna and scores of others before her, apparently not.”

“I don’t understand why all these RnB / rap artists have to grab their cro'tch’s all the time….it looks ridiculous!!”

No comments:

Post a Comment