Matiti Hadharani: Hivi Utamaduni Huu Bado Upo Kweli..? [PICHA]
Inaonekana utamaduni wa Taifa hili la Swaziland ambayo ni nchi ya Kifalme umekuwa ni moja kati ya kitambulisho kikubwa kwa nchi hiyo. Ila kuna ukweli mmoja ya kwamba nchi hiyo kwa sasa ni moja kati ya nchi zenye takwimu mbaya sana za maambukizo ya HIV/AIDS duniani.
Cheki picha zaidi hapo chini...
No comments:
Post a Comment