Ajali mbaya imetokea muda huu hapa Ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani, ajali hiyo imehusisha magari 6 likiwemo moja la UDA.
Mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha ila uokoaji unaendelea.
CHANZO: Jamii FORUMs
No comments:
Post a Comment