Friday, March 21, 2014

Ni Mpambano wa Daudi na Goliati - United Wapangwa na Bayern Robo Fainali Ligi ya Mabingwa

Timu ya David Moyes Manchester United wamepangwa kukutana na mabingwa watetezi Bayern Munich kwenye droo lililopangwa leo. Jose Mourinho na timu yake ya Chelsea akikutana uso kwa uso na Zlatan Ibrahimovic na timu yake ya PSG.


Barcelona na Real Madrid watacheza na Atletico Madrid na Dortmund kwenye robo fainali ya michuano hiyo.

No comments:

Post a Comment