Msanii wa kundi la P-Square, Peter Okoye, ambaye kwa sasa yupo kwenye nyumba yake aliyoinunua hivi kaibuni ndani ya Atlanta, Marekani, kwa mara nyingine tena amethibitisha kuwa yeye ni baba mwenye furaha.
Shuka chini kuangalia picha zaidi...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mnamo January 21, 2014, alishea baadhi ya picha poa zake akiwa na mtoto wake kwa ajili ya mashabiki wake.
Je unakubali kwamba dogo ana swagga na mitindo ya hatari?
Hebu cheki picha zaidi hapo chini....
No comments:
Post a Comment