Sunday, May 19, 2013

Siri Yafichuka! Beyonce Ni Mjamzito Kwa Mtoto Wa Pili



Kwa mujibu wa E News! inasema kwamba vyanzo vingi vimetaarifu kwamba mwanamuziki Beyonce ni mjamzito wa mtoto wake wa pili.
Mdau mkubwa wa muziki wa hip hop, Russell Simons naye ali-tweet kuwapongeza wawili hao.
 
Kama ukivuta kumbukumbu, Beyonce aliwahi kuacha kufanya show yake moja kwa mara ya kwanza wiki iliyopita.
Pia kwenye picha yake ya hivi karibuni (hapo juu), dalili zinaanza kuonekana.......

No comments:

Post a Comment