Friday, December 20, 2013

Album ya Beyonce Yauza Kopi Millioni 1 Ndani ya Siku Sita na Kufika Hadhi ya Platinum


Bila kufanyika kwa promo au kuuzwa madukani, Beyonce ameshauza kopi millioni 1 za album yake Duniani kupitia iTunes.

Album hiyo inayokwenda kwa jina la Queen Bey imefikia platinum kwa mauzo ya nchini Marekani pekee. Album hiyo inaanza kuuzwa madukani leo December 20.

No comments:

Post a Comment