Saturday, April 27, 2013

Watu Wanovaa Suti Huonekana Watanashati Ila Ni Wafanyakazi Wa Watu Kama Mimi


Peter Okoye Wa P Square
Hakika sasa inadhihirisha kwamba, ndani ya kipindi flani kipaji kinalipa zaidi ya vyeti
Ila kuna ambao hawataki kuamini juu ya ukweli huu, huku wakiwaona waburudishaji na wanamichezo wakiwa na maisha poa zaidi.
Hapo chini kupitia ukurasa wake wa twitter, kuna kitu ambacho mmoja kati ya wanaounda kundi la P Square, Peter Okoye, alisema kwa watu ambao wana vyeti vya viwango vya juu duniani:
Akimaanisha: Watu kwenye suti huonekana wenye mafanaikio, mpaka utakapogundua wanafanya kazi kwa watu wanaovaa jeans na t-shirt kama mimi. Hahaha

No comments:

Post a Comment